Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Friday, 24 April 2015

(ZPTTA) NA (TAYI) WA MEZINDUA MPANGO WAKUHAMASISHA UCHAGUZI WA AMANI KWA KUEKA KIKAO NA WANAHABARI WA VITUO VYOTE NCHI TANZANIA

MAPEMA ASUBUHI YA LEO 24/4/2015 ZANZIBAR PEACE TRUTH AND TRANSPARENCY ASSOCIATION  (ZPTTA)WAKISHIRIKIA  NA TANZANIA YOUTH ICON (TAYI)WA MEZINDUA  MPANGO WAKUHAMASISHA UCHAGUZI WA  AMANI KWA KUEKA KIKAO NA WANAHABARI WA VITUO VYOTE NCHI TANZANIA
 KATIBU WA ZPTTA AKIHOJIWA NA WANA HABARI WA STATIONS ZA TV NA REDIO MBALIMBALI ALITOA NASAHA KWA VIJANA WA TANZANIA KUTO KUKUBALI KURUBUNIWA NA WANA SIASA KWA KUTOA MIFANO MBALI MBALI  YA NCHI ZILIZO INGIA KATIKA MITAFARUK YA  MACHAFUKU IKIWEMO YEMEN ,LIBIA,SIRIA ,IRAQ N.K NA  KAULI MBIU YA" SEMA NDIO KWA AMANI NA HAPANA VITA"
NAE MKUFUNZI WA VIJANA KUTOKA (TANZICT) FANUEL ANSIGAL AKITOA NASAHA NA ELIMU KUHUSU UCHAGUZI WA AMANI 
 

 

No comments:

Post a Comment