Mkuu wa utawala wa waasi nchini
Libya ameiambia BBC kuwa vikosi vyao vinafanya juhudi ziwezekanazo
kuzuia wahamiaji haramu kuabiri meli kuelekea Ulaya .
Bwana Ghwell amesema kuwa wahamiaji elfu 17 walikuwa wanaishi katika kambi ya hifadhi nchini Libya , lakini ni asilimia karibu tano walioweza kuvuka na kuingia Ulaya
No comments:
Post a Comment