Kumetokea maandamano mapya nchini
Marekani katika mji wa Baltimore kufuatia kifo cha kijana mweusi Freddie
Gray aliyekufa kutokana na majeraha akiwa mikononi mwa polisi. Mamia ya
watu wameandamana katika mitaa, wakionyesha ujasiri licha ya hali mbaya
ya hewa iliyokuwepo
.
Matokeo ya mwanzo ya uchunguzi wa polisi wa
jinsi kijana wa miaka ishirini na mitano mwenye asili ya weusi
alivyouawa bado hayajawekwa hadharani.
No comments:
Post a Comment