DIAMOND KUFANYA ONESHO KWENYE WHITE PARTY YA ZARI UGANDA
Imethibitika rasmi kwamba Diamond atafanya onesho kwenye white party ya
Zari inayotegemewa kufanyika Desemba 18, 2014 jijini Kampala nchini
Uganda kwa mujibu wa mtandao wa Boss Lady kwenye ukurasa wake wa
facebook ameandika Diamond kuwa mgeni rasmi na hiki ndicho alichoandika
Zari kwenye ukurasa wake wa facebook “Proud to announce Diamond
Platinumz is our official guest artist at the Zari All White Ciroc
Party. White is always pure, fab & classy,”
Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika jana
nchini Afrika Kusini, Diamond pia aliambatana na mama yake ikiwemo
menejiment yake.
No comments:
Post a Comment