Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 3 December 2014

mapokezi ya diamond plutnumzz dar kutoka kuwakilisha tanzania south africa


Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Mashabiki waliofika uwanja wa ndege kumpokea Diamond.
Diamond akipokelewa na mashabiki kwa shangwe.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One

No comments:

Post a Comment