
Mshiriki
wa Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ ,
Idris Sultan ndiye ameibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo huko
Afrika Kusini. Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda shindano hilo,
baada ya Richard Dyle Bezuidenhout kuibuka kidedea mwaka 2011 katika Big
Brother Afrika II.
No comments:
Post a Comment