Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Monday, 8 December 2014

DIAMOND ARAMBA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA


STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu

No comments:

Post a Comment