Mauwaji yaliofanyika kwa kijana Eric Garner raia wa marekani baada ya kukutwa na hatia ya kuuza sigara kinyume na sheria na kuwa mkaidi kufata amri ya polisi , Ndipo walipo amua kutumia nguvu kwa kumkalia kifuani tumboni na kumpiga kabali hadi kufa uchunguzi wa daktari umethibitisha kuwa kijana eric alikuwa na maradhi ya pumu na wakati wanamfanyia kitendo hicho cha kinyama alikuwa anapiga kelele kuwa hapati pumzi ila hawakulijali hili na kukiuka haki za binaadam.
Hali hii imesababisha maafa makubwa njini new-york baada ya wamarekani weusi kuanzinsha vurugu kwakunyimwa haki zao na wakidai kuwa kwakuwa wauwaji ni wamarekani wenye asili ya weupe halikuzingatiwa
No comments:
Post a Comment