Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Monday, 1 December 2014

Mkutano wa Wakuu wa Nchi Za EAC Wakamilika Nairobi


 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta (kulia) na Naibu Waiziri wa TAMISEMI (Elimu) Mh. Kassim Majaliwa wakizungumza nje ya Ukumbi wa Mkutano wa Kenyatta kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Miundombinu Nov 29, 2014,Nairobi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, KenyaKatibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo (kushoto) akifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu uliofanyika leo Novemba 29, 2014 Nairobi Kenya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki Bw. Amantius Msole (kulia) na Naibu Mwanasheria Mkuu Mh. George Masaju walifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, KenyaMakamu wa Rais wa Kenya Bw. William Ruto akizungumza kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya

No comments:

Post a Comment