Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Tuesday, 2 December 2014

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea.
Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.
Vitu vikitolewa nje baada ya maji kuzingira nyumba za wakazi wa jiji hilo.
Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani.
Baadhi ya wakazi wa jiji hilo hawana sehemu za kukaa baada ya maji kuingia kwenye nyumba zao na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.

No comments:

Post a Comment