
Mwenyekiti
wa Umoja wa Tanzania Ujerumani Bw. Mfundo Peter Mfundo (aliyesimama)
akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya Watanzania waishio Ujerumani katika picha ya pamoja na Rais Dr.Shein.

Balozi wa Tanzania nchi Ujerumani Bw.Philip Marmo akimwagia sifa za Watanzania waishio nchini Ujerumani kwa Rais Dr.Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Watanzania waishio Ujerumani.
WUERZBURG,...
No comments:
Post a Comment