Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 19 November 2014

NYATI AJERUHI WATU WANNE

Watu wanne kutoka kijiji cha Namabengo Wilaya ya Namtumbo Wamejeruhiwa na Nyati na kusababishiwa kulazwa katika kituo cha Afya Namabengo Mkoani Ruvuma.

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema watu walio jeruhiwa walikuwa katika shuguli za kawaida za kila wakipalilia makaburi,wengine kuloweka mihogo bila kujua ndipo walipo vyamiwa na Nyati.

Kamanda wa Police Mihayo Msekhela amesema Jeshi la Police lilipo pata Tarifa Hiyo lili chukua Hatua Mara Moja na kushirikiana na Askari wa wanyama Pori kumsaka Nyati huyo hatimaye kuweza kumuua

No comments:

Post a Comment