Unordered List


Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Wednesday, 5 November 2014

MAMBO HADHARANI SIRI IMEFICHUKA

siri imefichuka
kumbe suala la kumvamia na kumpiga warioba lilianza kuratibiwa jumanne ya week iliyopita baada ya ITV kuutangaza mdahalo wa katiba kuwa utakuwa jumapili.
mpango huo huo ulikuwa unaratibiwa na aliyekuwa mwenyekiti wa bunge la katiba samuel sitta,william lukuvi,kapten komba pamoja na wasira,lakini walimuhusisha Mwigulu Nchemba kwa kumpigia simu yake ya 255 757 946223 kutoka kwa samuel sitta mwenye namba +255 788 887 788 lakini mwigulu nchemba alionyesha kukataa kushiliki uhalamia huo.unajua mwigulu tangu atangaze nia ya kutaka urais amekuwa mpole na hataki tena kutumika na baadhi ya viongozi kufanya uhalifu kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma.
mpango huo ulikolea sana siku ya jumamosi yani siku moja kabla ya mdahalo huo kikao kilikaliwa barabara ya buzwagi masaki kwenye nyumba ambayo serikali imeitenga kwa ajili ya spika wa bunge lakini sitta ameing'ang'ania wakati sio spika.
ndipo ndani ya nyumba hiyo kukaanza kupangwa uhalifu wa kumzuru warioba wakiwa ndani ya nyumba hiyo yani,sitta,lukuvi,komba na wasira ikaanza mipango ni namna gani mipango ifanyike ya kuvuruga mdahalo huo na ni namna gani ya kumzuru mwili warioba,basi baada ya hapo sitta akampendekeza makonda lakini makonda hakuwepo na ndipo akapigiwa simu na kufika kwenye mjengo huo wa serikali .na alipofika akaambiwa mchongo uliopangwa namna ya kuvuruga mdahalo na kumpiga warioba na yeye ndo aongoze,lakini makonda akaomba pesa kwa ajili ya kukodi vijana kwa ajili ya kazi hiyo.na ndipo akasimama wasira akatoa 150,000/= na lukuvi akatoa 100,000/= sita akatoa laki 2 na komba akatoa efu 40 na jumla ikapatikana laki 4 na 90 .makonda akaulizwa kama pesa ile inatosha ndipo akajibu ngoja kwanza akafanye kazi isipotosha atawataarifu akaongeza kwa kusema ata membe aliwaahidi kuwapa pesa kwa ajili ya zozi hili.
nda ndipo makonda akaondoka kwenye nyumba hiyo na kuwaacha viongozi hao ndani ya nyumba na makonda hakuonekana tena mpaka kesho yake siku ya mdahalo ambapo alikuwa ameongozana na vijana wasiopungua 30 na kuingia nao ndani ya ukumbi na baada ya muda kidogo makonda akaanisha vurugu.
lakini mpango mzima wa kufanya uharamia huo ulipangwa na lukuvi,sitta,wasira na komba.

No comments:

Post a Comment