IKIWA NI MOJA YA MUENDELEZO WA UTOJI ELIMU KUHUSU ATHARI ZA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA , KATIBU MKUU WA UMOJA WA SOBER HOUSE RECOVERY COMMUNITY ZANZIBAR ABDULRAHMAN ABDULLAH AKITOA ELIMU NA KUELEZA ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA KATIKA SKULI YA SECONARI BEN BELLA
ZOEZI HILO LIKIWA LINAENDELEA KAKIKA MASHULE YOTE YA SECONDARI KATIBU MKUU (ABDUL-RAHMAN ABDULLAH ) ANATOA WITO KWA WAZAZI ,WALIMU NA WALEZI KUCHUKUA JUHUDI ZA KUWAFATILIA WATOTO KWANI IMEONEKANA IDADI YA UTUMIAJI WA MADAWA YAKULEVYA INAZIDI SIKU HADI SIKU NCHINI TANZANIA MPAKA KUFIKIA ASILIMIA 25% YA IDADI YA WANANCHI NA KUPUNGUZA NGUVUKAZI AMBAZO NIMUHIMU KATIKA JAMII 
Your article is extraordinarily smart.I love to browse your diary's posts everyday and that i got vast facilitate from your blog and developed a replacement app ghost recon® network you'll check.Thanks for wonderful diary.
ReplyDelete